Arsenal imenyakua ubingwa wa kombe la FA.


Timu ya Arsena imeondoka na taji la kombe la FA msimu baada ya kuichapa Chelsea kipigo cha mabao 2-1.

Arsenal ilipata mabao ushindi kupitia 
Alexis Sanchez na Aaron Ramsey lakini upande wa Chelsea Diego Costa alifunga bao pekee la kufutia machozi.

Comments