Ashinda bilioni 4.8 za kitanzania baada ya kubeti.


Mei 3, 2017.

Mkenya anayefahamika kwa jina la Samuel Abisai ameshinda kiasi cha Shilingi milioni 221 za Kenya sawa na bilioni 4.8 za kitanzania.


Abisai alibashiri mechi 17 kupitia kampuni ya Sports Pesa inayopatikana nchini Kenya na kijishindia kiasi hicho pesa.


Raia huyo wa Kenya ameingia miongoni mwa wananchi walioaga rasmi hali ya umaskini nchini humo.

Comments