Aliyewahi kuwa kocha wa Athletic Bilbao Ernest Varvelde ndiye atakayerithi kiti cha Luis Enrique Barcelona.
Barcelona imemtangaza Rasmi kocha huyo mwenye miaka 53 kuchukua nafasi ya Luis Enrique ambaye amemaliza muda wake Barcelona baada ya kutangaza kumpumzika soka.
Kocha huyo mpya wa Barcelona amewahi kuichezea timu mwaka 1988 hadi 1990 wakati huo timu ya Barcelona ikiwa chini ya Mholanzi Johan Cruyff.

Comments
Post a Comment