Chelsea wamaliza kazi, ndiyo mabingwa wapya 2016/17.


May 13, 2017

Chelsea ndiyo mabingwa wapya ligi kuu England baada ya kuichapa West Brom bao 1-0 katika dimba la Howthorns.

Chelsea imekamilisha idadi ya pointi saba mbele ya mpinzani wake Tottenham ambaye hatafikia idadi ya pointi endapo 

Chelsea itapoteza michezo miwili iliyobaki.
Kocha Antonio Conte amepata mafanikio makubwa msimu huu kupitia mfumo wake wa 3-4-3 licha ya kuwa na msimu wa kwanza England.

Comments