May 13, 2017
Yanga imeonekana kuwa haishikiki msimu huu na kurejea kileleni baada ya kuichapa Mbeya city bao 2-1.
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa ndiye aliyeinyanyua timu hiyo baada ya kutupia bao la ushindi katika dakika ya 64 ya mchezo huo.
Yanga itamaliza na Toto Africa katika uwanja wa Taifa na kisha Mbao FC CCM Kirumba katika michezo miwili ya mwisho iliyobaki.

Comments
Post a Comment