Clichy mbioni kutua Liverpool.


Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp yupo mbioni kumsajili beki wa kushoto wa Ufaransa Gael Clichy ambaye atapatiwa mkataba wa miaka 2.

Clichy 31, amemaliza mkataba wake na Manchester city na hivyo atasajiliwa bure kwa majogoo hao wa Merseyside.

Bado kocha wa Liverpool yupo kwenye harakati za kupata beki mzuri wa kushoto kutokana na kupoteza ya kutumia beki wa kushoto Hispania Alberto Moreno.

Comments