Mei 3, 2017
Mshambuliaji nyota wa Real Madrid Christiano Ronaldo amefunga Hat trick na kuingoza timu hiyo kuondoka na ushindi wa bao 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabeu.
Ronaldo alifunga bao hizo katika dakika ya 10, 73 na 86 na kuitengenezea nafasi nzuri Real Madrid kuchungulia mlango wa fainali UCL.

Comments
Post a Comment