Diego Costa asaini China.


Mei 4, 2017

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amesaini mkataba wa awali na timu ya Tianjin Quanjian inayoshiriki Chinese Super league.

Diego Costa atapokea kiasi cha £30 million kwa mwaka akiambatana na kiungio wa Zenit Axel Witsel na Mshambuliaji wa Brazil Alexander Pato.

Kuondoka kwa Diego huenda kukafungua milango kwa strika wa Everton Romelu Lukaku kutua Chelsea kwa mara nyingine.

Comments