May 14, 2017
Mkongwe wa zamani wa Liverpool Dirk Kuyt amefunga amefunga mabao 3 muhimu na kuipa ubingwa Feyenoord katika ligi ya uholanzi.
Kuyt alifunga bao hizo katika dakika ya kwanza, 12 na 84 na kuhitimisha ushindi wa bao 3-1 na kuifanya Feyenoord kuwa mabingwa kwa tofauti ya pointi 1 dhidi ya Ajax.
Mara ya mwisho Feyenoord kutwaa ubingwa huo ilikuwa mwaka 1999 ikiwa imepita miaka 18 hadi sasa.


Comments
Post a Comment