Dirk Kuyt atandika daluga baada ya kubeba ubingwa.


May 17, 2017

Nahodha wa timu ya Feyenoord Dirk Kuyt ametangaza kustaafu soka rasmi baada ya kunyakua ubingwa na timu hiyo.

Mkongwe huyo alifunga mabao yote matatu katika ushindi wa magoli 3-1 kwa moja dhidi ya Heracles.

Kuyt 36, aliwahi kuitumikia Liverpool kwa kipindi cha miaka 6 tangu mwaka 2006 hadi mwaka 2016.

Comments