Mei 3, 2017
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp huenda akamsajili kiungo wa Chelsea Cesc Fabrigas.
Klopp anahusishwa na mpango wa kumsajili Fabrigas ambaye amekosa namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza tangu kutua kwa Antonio Conte kwenye timu hiyo.
Ubora wa Fabrigas mwenye miaka 29 unamvutia kocha wa sasa wa Liverpool Jurgen Klopp ambaye anataka kuongeza nguvu kwenye timu yake msimu ujao.

Comments
Post a Comment