May 15, 2017
Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hanspoppe amefuta uamuzi wake wa kujiuzulu ndani ya timu kama ilivyoripotiwa hapo awali.
Msemaji wa Simba Haji Manara kupitia ukurusa wake Instagram amewahakikishia wana chama wa Simba kuwa kuongozi huyo amerejea kundini.
Awali Hanspoppe aliripotiwa kujiuzulu kwenye nafasi yake kutokana na Simba kusaini dili jipya na kampuni ya Sportpesa bila kumshirikisha.

Comments
Post a Comment