Higuain aimaliza Monaco, apiga 2 ugenini.


Mei 4, 2017

Juvuntes imeanza kunukia kwenye hatua ya Fainali UCL baada ya kuichapa Monaco bao 2-0 katika uwanja wa Stade Louis, Monaco.

Mabao mawili ya Juventus yaliwekwa nyavuni na muargetina Gonzalo Higuain aliyefunga katika dakika ya 29 na 59.

Endapo Juventus itatinga hatua ya fainali itafufua matumaini kwa golikipa wa timu Gianluigi Buffon hajawahi kunyanyua taji hilo.

Comments