Mei 3, 2017
Kiungo wa Azam FC Himid Mao Mkami 'Ninja' amewasili katika timu yaRanders FC na tayari ameanza mazoezi katika timu ya Vijana.
Himid ataungana na kikosi cha wakubwa siku ya ijumaa ikiwa ni maandalizi katika mchezo dhidi ya AC Horses utakaopigwa jumanne ya wiki ijayo na Himid atatumika kama mchezaji wa akiba.

Comments
Post a Comment