Huddersfield yaifata Newcastle, Brighton EPL.


Timu ya Huddersfield town imeungana na Newcastle pamoja Brighton Hove and Albion ligi kuu baada ya kuichomoa Reading kwa mikwaju ya penati 4-3 katika mchezo ulipigwa katika dimba la Wembley hapo Jana.

Comments