May 12, 2017
Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio ameirejesha timu kileleni baada ya kufunga bao 2 muhimu kuzoa pointi 3 muhimu katika mchezo huo.
Luizio aliifungia Simba bao hizo katika dakika ya 23 na 35 na kuhitimisha matokeo yaliyozaa ushindi wa bao 2-1.
Mbali na mchezo huo pia Wapinzani wa Simba Yanga SC watashuka dimbani kesho katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya city.

Comments
Post a Comment