May 26, 2017
Kiungo wa Azam FC Himid Mao Mkami heunda akatimka Bongo na kutua Randers FC ya Denmark.
Hatua hiyo ni kutokana na uwepo wa taarifa kuwa tayari mabosi wa Randers wapo kwenye mazungumzo na Azam FC kwa ajili ya kumnasa kiungo huyo.
Himid alifanya majaribio na siku katika timu hiyo na kufanikiwa kuwashawishi mabosi wa Randers FC.
Chanzo: Champion

Comments
Post a Comment