May 25, 2017
Timu ya Manchester United imejihakikishia nafasi ya kushiriki ligi mabingwa baada ya kutwaa taji la Europa ligi hapo jana baada ya kuichapa Ajax bao 2-0.
Man utd inaungana na Chelsea, Tottenham na Man city ambazo tayari zimejihakikishia nafasi ya kushiriki ligi mabingwa barani Ulaya.
Comments
Post a Comment