Mashabiki wa Simba wafunga uwanja wa Jamhuri.


Mashabiki wa klabu ya Simba tayari wamekwisha jaza uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo kutakuwa na mchezo wa fainali wa kombe la FA kati yao na Mbao FC ya Mwanza.

Comments