Kiungo wa Chelsea Nemanja Matic huenda akatimka na kutua Old Trafford ili kuungana na kocha wake wa zamani Jose Mourinho.
Gazeti la 'The Sun' limeripoti kuwa Chelsea imeanza mazungumzo na kiungo mkabaji wa Monaco Bakayoko ambaye anaweza kurahisisha la Nemanja Matic Man Utd endapo ataua Stamford Bridge kwa dau la £42 milioni.
Mourinho yupo kwenye mipango ya kuimarisha kikosi cha Man utd kwa ajili ya mapambano ya ligi kuu na ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Comments
Post a Comment