Mohamed Hussein ndiye mchezaji bora Simba 2016/17


May 24, 2017

Klabu ya Simba imemtangaza beki wake wa kushoto Mohamed Hussein 'Zimbwe' kuwa mchezaji bora wa msimu. Simba ilitoa taarifa hiyo kupita tovuti yao.

Comments