Kane abeba tena kiatu cha dhahabu.



Mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane ndiye aliyebeba kiatu cha dhahabu baada ya kuibuka kinara wa kufunga mabao kwenye ligi ya England. Kane amefunga jumla ya mabao 29.

Comments