Nani alikuwa bora mwezi April?


May 2, 2017

Bado mchakato kuendelea kumtafuta mchezaji bora kwa mwezi April katika ligi ya EPL unandelea na nyota kadhaa kwenye ligi wameingizwa kuwania kinyang'anyiro hicho.

Kwenye orodha hiyo yumo Christian Benteke (Crystal Palace), Eden Hazard (Chelswa), Delle Ali (Tottenham), Roberto Firmino (Liverpool), Christian Erickssen ( Tottenham) na Kamil Grosick (Hull city).

Comments