Oblak atajwa kuchukua nafasi ya De Gea.


Mei 4, 2017

Golikipa namba wa Atletico Madrid Jan Oblak ametajwa kurithi nafasi ya kipa wa wa sasa wa Manchester United David De Gea.

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alisema milango ipo wazi endapo  De Gea atahitaji kujiunga na Real Madrid.

Oblak mwenye miaka 24 amekuwa na kiwango bora na kujitengenezea nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kocha Diego Simeon.

Raia huyo wa Slovenia ni moja kati ya magolikipa bora waliowekwa kwenye orodha ya dunia.

Comments