Rodriquez anukia Man Utd.


Mei 5, 2017

Kiungo mshambuliaji wa Real Madrid James Rodriquez huenda akatua Manchester United katika dirisha kubwa la usajili.

Gazeti la Daily Star limetoa ripoti kuwa mchezaji huyo amekamilisha makubaliano binafsi na Manchester United.

Comments