Timu ya Simba imefanikiwa kurejea kwenye anga za kushiriki michuano kimataifa baada ya kuichapa Mbao FC bao 2-1 kwenye mchezo wa fainali.
Washambuliaji wa Simba Frederick Blagnon na Shiza kichuya ndiyo wafungaji pekee wa mabao hayo katika ushindi waliopata.
Comments
Post a Comment