May 25, 2017
Beki wa Simba SC Mohamed Hussein 'Zimbwe' ndiye aliyeibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora katika msimu wa ligi kuu 2016/17.
Zimbwe ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwapiga chini golikipa wa Azam Aishi Manula na winga mwenye kasi katika klabu ya Yanga Simon Msuva.

Comments
Post a Comment