Son, Poch wabeba tuzo mwezi April.


May 12, 2017

Mauricio Pochettino ndiye kocha bora wa EPL kwa mwezi April akiambatana na winga wa timu hiyo Heung-Min Son ambaye ametwaa tuzo hiyo kwa upande wa wachezaji.

Comments