Tambwe apeleka ubingwa Jangwani.


May 16, 2017

Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe ameingoza Yanga kutwaa taji la ubingwa kwa mara ya 3 mfululizo baada ya kuzamisha nyavuni bao pekee la ushindi dhidi ya Toto.

Tambwe amefunga hao hilo kunako dakika ya 81 ya mechi na kuifanya Yanga kuongoza rasmi msimamo wa ligi kuu kwa pointi 3 dhidi ya mpinzani wake Simba.

Comments