May 11, 2017
Timu tano ndani ya mataifa makubwa barani Ulaya zinahusishwa na kumuwania mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez.
Sanchez aliweka wazi mpango wake kuondoka Arsenal mwisho wa msimu kutokana na ukame wa vikombe katika timu hiyo.
Timu hizo ni Intermilan ya Italy, Paris Saint Germain ya Ufaransa, Bayern Munich ya Ujermani pamoja na Manchester city na Chelsea zote kutoka England.

Comments
Post a Comment