Timu ya Yanga imerejea kwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu Vodacom baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 2-1 katika uwanja wa taifa.
Yanga imepata mabao hayo kupitia Simon Msuva aliyefunga dakika ya 38 ya mchezo huo pamoja na Obrey Chirwa aliyefunga dakika ya 52.
Kwa upande wa Kagera mshambuliaji wa Timu Mbaraka Abeid ndiye aliyeipatia timu yake bao la kufutia machozi kipindi cha kwanza katika dakika ya 45.
Comments
Post a Comment