Zabaleta asaini miaka 2 West Ham.


Beki wa kulia wa kimataifa wa Argentina Pablo Zabaleta amesaini miaka 2 West Ham baada ya kumaliza mkataba wake na timu ya Man city.

Zabaleta ameitumikia City kwa miaka 9 tangu aliposajiliwa akitoke Espnyol mwaka 2008 kwa dau la £6.5 milion.

Zabaleta mwenye miaka 32 aliaga rasmi kwa ungozi na mashabiki wa Man city ambao aliwatukia kwa muda wa miaka 9.

Comments