Mshabuliaji wa Taifa Stars Ibrahim Ajib ametua Yanga baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo.
Hadi kufikia jana kila kitu kilikuwa kimekamilika baina ya klabu ya Yanga na Ibrahim Ajib na huenda akatambulishwa muda wowote kuanzia sasa.
Chanzo kilieleza kuwa mchezaji ni mali ya Yanga na atakosekana katika klabu ya Simba msimu ujao.
Comments
Post a Comment