Ilianza kama tetesi lakini imekuwa kweli, beki wa Brazil Dani Alves amevunja mkataba na Juventus ili kujiunga na Manchester city ya England.
Timu ya Jventus imethibitisha taarifa hizo na wamebariki maombi ya beki huyo ambaye alibakiza mwaka mmoja na nusu katika mkataba wake.
Alves mwenye miaka 34 anatarajiwa kutua Etihad na kujiunga na kocha wa Zamani Pep Gurdiola ambaye aliwahi kumfunza nyota katika kikosi cha Barcelona.

Comments
Post a Comment