Beki wa kulia kutoka Brazil Dani Alves huenda akaungana na kocha wake wa Zamani Pep Gurdiola katika timu ya Manchester city.
Gurdiola anavutiwa na mpango wa kumsajili Alves mwenye miaka 34 ambaye kwa sasa anaichezea Juventus ya Serie A.
Mbali na Dani Alves pia kocha huyo anavutiwa na mpango wa kumsajili beki Kyle Walker kutoka Tottenha.

Comments
Post a Comment