Bado yupo sana tu, ajiandaa kusaini dili jipya.


Kocha wa Chelsea Antonio Conte yupo mbioni kusaini dili Jipya katika timu hiyo baada ya maongezi kwenda vizuri.

Kulingana na ripoti ya Sky Italy kocha huyo atasaini mkataba mpya ambao utamfanya alipwe kiasi £9.5 milion hadi £10 milioni kwa mwaka.

Conte amepokea ofa hiyo kutokana na kufanya vizuri katika msimu wake wa kwanza baada ya kubeba ubingwa wa ligi kuu England licha ya kubakiza miaka 2 ndani ya mkataba wake.

Comments