Balotelli asaini dili jipya Nice.


Mshambuliaji wa Italy Mario Balotelli ameongoza mkataba wa mwaka mmoja katika timu ya Nice hadi msimu ujao.

Nyota huyo mwenye miaka 26 ameifungia Nice mabao 17 katika mechi 28 alizoichezea Nice tangu alipotua ndani ya timu akitokea Liverpool mwaka jana.

Comments