Aliyawahi kuwa mshambuliaji wa Liverpool na Fowadi wa Sunderland kwa sasa atajiunga na AC Milan kwa dau la pauni 5.6 milioni.
Borin anatarajiwa kutua kesho katika jiji la Milan ili kukamilisha zoezi la vipimo kabla ya kusaini mkataba.
Raia huyo wa Italy alicheza mechi 24 katika ligi ya England msimu uliopita na kufunga mabao 2, na ametoa pasi 2 za magoli.

Comments
Post a Comment