CR7 aweka wazi mapacha wake.


Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo ameweka kuwa yeye ni baba wa watoto mapacha baada ya kumalizika kwa nusu fainali dhidi ya Chile.

Ronaldo anayeshikilia tuzo ya Ballon d' or duniani aliweka wazi tukio hilo kupitia kurasa zake za mitandao ya jamii.

Mapacha hao wanaungana na kaka yao 
Christiano Jr mwenye umri wa miaka 7 huku zikiwepo taarifa kuwa mrembo wa Ronaldo Giorgina ana ujauzito wa miezi 5.

Comments