Cryastal Palace yamtangaza kocha mpya.


Frank De Boer ndiye kocha wa Crystal kwa makubaliano ya mkataba wa miaka 3.

Umepita mwezi mmoja na nusu tangu aliyekuwa kocha wa timu hiyo Sam Allardyce atangaze kustaafu soka.

De Boer ambaye ni raia wa Uholanzi aliondolewa kwenye klabu ya Intermilan mapema mwezi November mwaka jana.

Kocha huyo mwenye miaka 47 amewahi pia kuifundisha Ajax Amsterdam kabla ya kupokea kutoka Intermilan.

Comments