Defoe ajindaa kutua AFC Bournemouth.


Aliyekuwa mshambuliaji wa Sunderland Jermain Defoe atajiunga na AFC Bournemouth ya England wikiendi ya wiki hii.

Mkataba wa Defoe ndani ya Sunderland unamruhusu mchezaji huyo kuondoka bure baada ya kushuka daraja.
Defoe amefanya makubaliano binafsi na 

Bournemouth ambayo itamlipa kiasi cha £65000 kwa wiki ndani ya mkataba wa miaka 3.

Comments