'Akitamka England' ametua Liverpool.


Liverpool inajianda kuweka mzigo mezani endapo mshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe atahitaji kutua England.

Liverpool wanasubiri kauli ya mchezaji huyo ambaye wana imani anahitaji kuwa nafuraha ndani ya ligi hiyo.

Vijogoo hao wa Merseyside wapo tayari kuweka dau linalofikia kiasi cha £100 milioni kama ada ya uhamisho wa mchezaji huyo.

Klopp anataka kumsajili nyota huyo ili kuongeza nguvu katika kikosi cha Liverpool ambacho kimeadhimia kufanya vizuri katika ligi ya England na Ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Comments