Kikosi cha timu ya taifa ya England chini ya miaka 20 kimetwaa ubingwa wa dunia baada ya kuichapa Venezuela bao 1-0.
Kuanzia hatua ya robo fainali England ilikuwa imewang'oa Mexico baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, na pia ilipata ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Italy katika hatua ya robo fainali.
Comments
Post a Comment