Kiungo wa Manchester city Ilkay Gundogan ameanza mazoezi baada ya kupona jeraha la goti.
Gundogan mwenye miaka 26 alikuwa nje tangu Desemba 14 mwaka jana wakati timu hiyo ilipochuana na Watford katika uwanja wa Etihad.
Raia huyo wa Ujermani alionekana kwenye kurasa rasmi za Twitter za Manchester city akijiimalisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi.

Comments
Post a Comment