Baada ya Aishi Manula kusaini Simba hatimaye Azam yajibu mapigo na kumsajili Benedict Haule kutoka Mbao FC.
Benedict Haule amesaini miaka 2 katika timu ya Azam FC mbele meneja mkuu wa timu hiyo Abdul Mohammed.
Awali golikipa huyo alikuwepo katika timu ya Azam na sasa amerejea amerejea nyumbani kwa mara nyingine.

Comments
Post a Comment