John Terry amekubali kutua Aston Villa.


Beki mkongwe wa Chelsea John Terry amekubali kujiunga na Aston Villa inayoshiriki Championship atakapomaliza mkataba wake wikiendi hii.

Chanzo cha habari katika gazeti la Daily Mirror kimeripoti kuwa Terry amekubali kumalizia soka lake katika klabu hiyo.

Comments