Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ameandaa ofa ya £30 milioni kumnasa winga wa Arsenal Oxlade Chamberlain.
Kocha huyo anayetamba na mtindo wa
"Gegen pressing" uwanjani anataka kuwa na kikosi kipana kilichosheeni wachezaji ambao wanaendana na mtindo wa soka lake.
Baada ya kupata mafanikio ya kuirejesha Liverpool kwenye ligi ya mabingwa kocha huyo anataka kuhakikisha kikosi hicho kinafanya vizuri na kupigania ubingwa wa England hapo mwakani.

Comments
Post a Comment