Kane ndiye habari ya Man Utd kwa Mourinho.


Kocha wa Mnachester United Jose Mourinho amewataka mabosi wake kumnunua mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane badala ya Christiano Ronaldo.

Mourinho anaamini kuwa Kane ndiye chaguo sahihi kwake kutua Old Trafford kuliko staa huyo wa Real Madrid.

Mashabiki wa Manchester United wanatamani Christiano Ronaldo arejee kwenye klabu hiyo kwa mara nyingine jambo ambalo halipo kichwani kwa Mourinho.

Comments