Kiungo huyu mkali anahesabu masaa kutua Chelsea.


Timu ya Chelsea ipo mbioni kukamilisha usajili wa kiungo aliyeng'ara na Monaco Tiemoue Bakayoko kwa dau la paundi 35 milioni.

Bakayoko mwenye miaka 22 ndiye atakayeziba pengo la kiungo Nemanja Matic ambaye yupo mbioni kujiunga na Manchester United.

Comments