Lewandowsky kumrithi Diego Costa.


Timu ya Chelsea ipo kwenye mkakati wa kuhamishia mbio za usajili kwa mshabuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowsky.

Lewandowsky ambaye ni raia wa Poland anahusishwa kuwa mrithi wa nafasi itakayoachwa na Diego Costa ambaye haitajiki Chelsea msimu ujao.

Chelsea imengiza jina la mchezaji huyo kwenye usajili kutokana na ushindani mkubwa ulipo katika kuinasa saini Romelu Lukaku ambaye anapigiwa hesabu nzito na PSG.

Comments